Meneja Ukuzaji wa Biashara Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa na
Kati wa Benki ya NBC, , Jonathan Bitababaje akitoa mada katika seminaya vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyikakatika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwana Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi  ambayo benki hiyoimedhamini.
 Naibu Mkurugenzi wa Vijana katika Wizara ya Vijana, Habari,
Michezo na Utamaduni, James Kijugusi akizungumza  katika semina yavijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyikakatika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwana Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi, Semina hiyoimedhaminiwa na Benki ya NBC. Kushoto ni Mshauri wa Mahusiano wa benkihiyo, Eddie Mhina na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa YESI,
Baadhi ya washiriki wa semina ya vijana kuhusu ujasiriamali 

wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika ukumbi wa Don Bosco,
Dar es Salaam. Semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika lisilo lakiserikali la YESi ilidhaminiwa na Benki ya NBC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...