Ngoma za enzi hizo zilikuwa hazikamiliki bila kupata kitu cha Kool & The gang cha 'Get down it'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankal huu muziki wa zamani unaulinganishaje na huu wa vijana wa sasa wa "Mitungi,Brunt,Mikasi".....Kuna tofauti?

    David V

    ReplyDelete
  2. Ankal alikuwa mkorofi kwa manyanga!!!!?

    ReplyDelete
  3. Samahani michuzi Nina uliza kitu tofauti hapa,nikijaribu kuingia mkasi.tv naambiwa server NOT found,nifikishie ujumbe iLi niweze angalia kipindi cha Salama Jabir online

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...