Watoto wa Wafanyakazi wa NMB kutoka Matawi mbalimbali jijini Dar Wakiwa katika michezo mbalimbali ndani ya hotel ya Southe Beach Kigamboni katika Siku ya familia ya NMB
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa na Familia zao katika siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
Kutoka Kushoto ni Dafrosa Mkami kutoka NMB Mwenge akifuatiwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bw Iman Kajula, Mkuu wa Kitengo cha Benki Binafsi Bw Abdulmajid Nsekela na Mdau Josephat Lukaza ambaye pia ni Mfanyakazi Wa NMB Songambele wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika Jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
Wadau wa NMB wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa sherehe ya siku ya familia ya NMB
Hapa ndipo bendi ya skylight ilipoweka makazi yake jana kabla ya kuanza kutoa burudani kwa familia ya NMB zilizofika katika siku ya familia ya NMB.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mnakwenda beach mmevaa jeans, hata maji hamkuyagusa, anyway taratibu mtazoe kujirush kwa staili za ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...