Rais wa Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisalimiana na mmoja wa wajasiriamali kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant, wakati alipotembelea maonesho hayo.
Rais wa Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisaini kitabu cha wageni katika banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant,wakati alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. James Nzagi.
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akiongea na wajasiriamali kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012.
Picha zote na Mary Mwakapenda
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...