Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho Sarakikya (wa pili kushoto) akikabidhi bendera ya taifa kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (katikati) ambaye ni kiongozi wa Upandaji wa Mlima Kilimanjaro muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi hilo.
Kiongozi wa safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (aliesimama) akizungumza
wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika lango la Marangu.Kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho Sarakikya.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa ni mkuu wa majeshi wa kwanza Tanzania (jenelari mstaafu) Balozi Mirisho Sarakikya akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi waliokuwa wakipanda mlima Kilimanjaro hivi karibuni.
Vifaa vya wapandaji vikiwa tayari.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...