Mh Balozi Ngemera katika picha ya pamoja na maofisa wake kutoka ubalozini, kutoka kusho ni mama Kejo, Mh Balozi Ngemera na Mr Siwa, katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza muda wa wake iliofanyika nyumbani kwa balozi Berlin Ujerumani.


Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe Peter Kazaura, Beatrice Thomas, Mr Baruti, Christina, Leo Kazaura na Selemani Batashi wakazi wa berlin.



3. Mzee Temu kulia akimpongeza Mh balozi Ngemera kushoto kwa kumaliza muda wake.


Mr Waitara kulia kutoka ubalozini akimpongeza Mh balozi Ngemera wa pili kushoto kwa kumaliza muda wake, kushoto ni mzee kisalia.


Baadhi ya wageni waalikwa wakazi wa ujerumani kutoka kushoto ni Christina, Joyce, Beatrice,Gladis na Esther.

6. Mh balozi Ngemera katikati kwenye na wakazi wa berlin kushoto ni Khalfani na kulia ni Christina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...