Tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Ndugu Amos Matius Baluhya kilichotekea ghafla tarehe 6/12/2012 huko Mtwara. Mwili wa marehem unasafirishwa leo kuja Dar er Salaam. Ndugu, jamaa na marafiki mnafahamishwa kuwa mwili utaagwa kesho tarehe 8/12/2012 0800hrs nyumbani kwa marehemu Buguruni Malapa karibu na ofisi za Turu security tayari kwa kusafirishwa kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika nyumbani kwao Chato Kagera.
"THE LAMP IS OFF NOT BECAUSE IT HAS NO FUEL BUT BECAUSE MORNING HAS COME" BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Jamani, Such a smart young man going too soon, poleni sana sana wafiwa.... Mwenyezi Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.
ReplyDeleteMungu ampumzishe mwenzetu salama!
ReplyDelete