Globu ya Jamii leo imepita mitaa ya Kinondoni Mkwajuni karibu na ile Bar ya Masai na kukuta vigogo vimewekwa katikati ya barabara kwa madai ya kuzuia magari yanayokwenda kasi.sasa sijui utaratibu huu katika sheria za usama barabarani upo katika kifungu gani??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwanini Serikali inatengeneza barabara nzuri wakati watu wamejizoelea mashimo na makorongo? Naona uchunguzi wa kina ufanyike mara zote ili kujua ni wapi watu wanahitaji barabara na singinevyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...