Home
Unlabelled
Vijana wa Kundi la The Voice waakiimba wakati wa Onyesho la Miss East Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tafadhari naomba mtu anayewafahamu vizuri vijana hawa wa The Voice anifahamishe kama ndiyo wale waliokuja kuimba kwenye mkutano wa injili hapa Uk au la, nahitaji kuweka kwenye kumbukumbu zangu
ReplyDeleteNdio wenyewe haswa. kumbukumbu gani unaweka kama we sio mzushi tu!
ReplyDeletendio hao hao
ReplyDeleteAsanteni kwa kunifahamisha japo ndg aliyeniita mzushi hajanitendea haki, nimesema ni kumbukumbu zangu siyo zake wala za mwingine yeyote, sasa hapo shida iko wapi hadi aniite mzushi. Hata hivyo nayapokea maneno yake japo kwa mtazamo hasi
ReplyDeletendio hao na mm pia nafanya nao kazi angalia hapa www.injilileo.blogspot.com
ReplyDeleteNdg. Jackson Kato, asante sana. Kwa mara ya kwanza nimeitembelea blog yako nimefurahi kupata habari za injili toka huko nyumbani, endelea kutupasha zaidi
ReplyDelete