Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo |
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo |
Mtoto Samwel akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa nyuma ya dereva amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana |
Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya new force |
Baadhi ya majeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu |
Duh. Poleni Swali la Kizushi. Cjawahi skia baada ya ajali hizi kampuni flani ya Insurance imewajibika walao kutibia majeruhi Je ni kweli gari nyingi kati ya mabasi tunayosafiria hayana Insurance covers kwa abiria!? Polisi kila wakikagua gari wanaangaliaga sika ya bima! Je hizi stika ni genuine ama fake!! Mi cjui!
ReplyDelete