Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akiwaonyesha cheti cha Ukaguzi wa Mazingira ambacho hupatiwa Wamiliki wa Mahoteli na viwanda. Waziri Huvisa alikuwa akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Cherles Kikwanga akitoa Ufafanuzi wa jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt.Terezya Huvisa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitoa Ufafanuzi wa Vibali vya Mazingira kwa Mwandishi wa Gazeti la Jambo Leo Bw. Peter Ambilikile wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari leo Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli Mijni Dar es Salaam.Picha na Ali Meja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wametangaze kuwa Giraffe imefungiwa - mbona jana usiku pale full kujiachia? Magari kibao na inaonekana as business as usual.

    Namna gani hii??!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...