Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhil Mwasyeba (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makubaliano ya mkataba wa kujiunga na Kampuni ya SelCom kwa ajili ya Malipo ya Zuku.Wengine pichani ni Meneja wa Matangao na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint,Juma Mgori (katikati) na Meneja wa Bidhaa na uboreshwaji wa viwango,Julio Batilia.
Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhil Mwasyeba (wa pili kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya kulipia king'amuzi cha Zuku kwa njia ya mtandao na Meneja wa matangao na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint,Juma Mgori.makubariano hayo yamefanyika jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kurahisisha hudumu hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...