Audio za vipindi viwili (jana na leo) vya Amka na PRIDE FM hosts
ni Andrew Mturi na Sospeter Magumba
KAULI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well done PRIDE-FM for ensuring a broad coverage of the important news! Well done Michuzi blog too.
ReplyDeleteHatutaendelea mpaka tuache hii lugha ya kusaidia/kusaidiana tunayoitumia.
ReplyDeleteGesi iko Mtwara basi mkoa wa huo uiuzie Tannesco gesi hiyo ili mkoa huo ujiendeleze kiuchumi na ujitegemee. Tannesco inauzia watu umeme basi inunue gesi Mtwara, sio kujenga magorofa marefu wakati watu watu wanakosa umeme. Uchumi ni kununua hapa kwa bei ya chini na kuuza pale kwa bei ya juu. Na haya ndio makosa ya uchumi wa Tanzania.Waulize watu wa Arusha na Tanzanite kama wanafaidika na madini hayo .....Faida za utalii zote zaenda Dar es Salaam wakati hifadhi ziko Mikoani.Dhahabu, almasi,gesi ya songosongo, .....ujinga huu utaisha lini?
Kwanini kunapotokea mgogoro serikali inakimbilia kuita viongozi wa dini?
Gasi ni ya Watanzanis wote.
ReplyDeleteHiyo ni mali asili ya taifa zima.
Mlima Kilimanjaro sio wa watu wa Kilimanjaro tu ni mlima wa Tanzania nzima .
Mbugs zs wanysma sio zs sehrmu mbuga zilipo ni zs Watanzania wote. Wans Mtwara amkeni mtsnufsiks kuliko kulumbana.