Ngoma ya 'Safari siyo Kifo' ya Akudo Sound ni kali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal imependa nyimbo au vichupi?

    ReplyDelete
  2. huo wimbo ni mkali,sio mchezo!achana na vichupi,hata wewe si unayo umevaa,au?

    ReplyDelete
  3. Sasa kwanini wenzake amewaweka uchi wakati yeye kavaa suti, na yeye avae kichupi, haipendezi hiyo kuwafanya wenzako kama mapambo, ni watu pia hao.

    ReplyDelete
  4. Christian Bella ni muimbaji mwenye sauti nzuri sana na tungo zake zote zinavutia kuzisikiliza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...