Ngoma ya Isha Ramadhan "Mashauzi" wa 'Mama Nipe Radhi' alioimba na mama yake mzazi Rukia Juma ni moja ya ngoma kali sana za taarabu kupata kutokea karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. "Ukitaka kujua ugomvi wa mleeevi...uionje pombe yakeee..." LOL kumbe unazifagilia hizi? Safi sana Ankal! - Kilakshari

    ReplyDelete
  2. Du leo nimekumbuka nyumbani baada ya kusikiliza kibao hiki, inshallah nadhani august nikijaaliwa ntarudi kwa mapumziko na kuzisikiliza kwa ukaribu zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...