Ngoma ya Isha Ramadhan "Mashauzi" wa 'Mama Nipe Radhi' alioimba na mama yake mzazi Rukia Juma ni moja ya ngoma kali sana za taarabu kupata kutokea karibuni
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
"Ukitaka kujua ugomvi wa mleeevi...uionje pombe yakeee..." LOL kumbe unazifagilia hizi? Safi sana Ankal! - Kilakshari
ReplyDeleteDu leo nimekumbuka nyumbani baada ya kusikiliza kibao hiki, inshallah nadhani august nikijaaliwa ntarudi kwa mapumziko na kuzisikiliza kwa ukaribu zaidi.
ReplyDelete