Ngoma ya 'Gere' ya The Kilimanjaro Band "Wana Njenje" si ya mchezo. Ikipigwa lazima utamuonea gere bibie Nyota akiwa Jukwaani, hasa anapoita kabila moja moja kuonesha umahiri wake wa kunanihiii kiuno
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii ngoma huwa inachekechekecha kabisa, wanionea gere. Huyu mwana mama yuko sikumsikii siku hizi?
ReplyDeleteHuu mziki hatukaa uchuje hata siku moja nakwambia. Mimi wakati nakua ndo uliimbwa mpaka sasa wanikuna pamoja na kukaa ughaibuni mda mrefu.