Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Charles Chacha (kulia) akimkabidhi kikombe cha ushindi kepteni wa timu ya Kombaini ya Makao Makuu ya TCAA,Maria Mamba ambaye ni mwanasheria wa mamalaka hiyo wakati wa familly day iliyofanyika Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA.),Charles Chacha (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Kaimu Mkurugeni wa udhibiti wa usafiri wa anga Tanzania (TCAA),Makhiid Towillo. wakati wa familly day ILIYOWASHIRIKISHA WAFANYAKAZI WA TCAA.
Mshambuliaji wa timu ya JNIA ya wafanyakazi wa Mamkalaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Juma Hamis akifunga goli kwa njia ya Tiktaka.timu hiyo iliwafunga 2-0 Timu ya Makao Makuu ya TCAA.Wakati wa familly day iliyofanyika Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam leo.
Matilida Temba (kulia) ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Judo Tanzania akipambana na Richard Ndayulukiye ambaye ni mfanyakazi wa TCAA ikiwa ni sehemu ya shamra shamara za Familly day ya Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania wakiwa katika hafla hiyo ya Familly day.
Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), walioshiriki katika Famillya Day wakishindana kukimbia na magunia wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika Kunduchi Beach,Jijinii Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi waTCAA wakicheza mpira wa mikono vollyball wakati wa Sherehe ya familly day iliyofanyika Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Wakishindana kuvuta kamba wakati wa sherehe ya familly day iliyofanyika Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndio zetu kuvuta kama, kukimbia kwa kigunia, kukimbiza kuku.

    ReplyDelete
  2. Anoni wa kwanza jamaa wamejitahidi wana Judo na Volley Ball, wape sifa yao maana hawakufukuza kuku!!

    ReplyDelete
  3. What is wrong with that, tuache kasumba wajameni!

    ReplyDelete
  4. Hahahahaha!

    Mdau wa kwanza hicho ndio Kipaji chetu, Bora TFF wabadili mwelekeo waachane na Soka wajipange kwa Michezo mipya kama hii ili tutoke!

    ReplyDelete
  5. Michezo kama hii ya Kamba, kukimbia na magunia na kufukuza kuku ni kwa Mabosi kupunguza Vitambi, Saratani, Mashinikizo ya damu na Visukari !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...