.Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Vyama Vya Soka Nchini (TFF) Toka kushoto ni wakili Karuwa, Hamidu Mbwezeleni, mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Deo Lyato, wakili wa Jamal Malinzi Audats Kahendaguza, Jamali Malinzi na wakili wa Agape Fue, Peter Heller, ambaye alimkatia Jamal Malinzi rufaa kwa madai kuwa hana uzoefu wa miaka mitano na pia alipinga mabadiliko ya katiba ya TFF hapo walikuwa wanasikiliza rufaa ya Malinzi. Kupata yaliyojiri leo BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
ALUTA KONTINYUA YA SAKATA LA TFF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...