Mlezi Mwaka Mwakisu akimkabidhi mipira mwenye kiti wa bajaji mkoa wa mbeya. |
Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha bajaji mkoa wa Mbeya akimshukuru mlezi wako wa kuwasaidia vifaa vya michezo na kuzindua timu yao ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya |
Mgeni rasmi akipandisha bendera ya timu ya Bajaji FC kuashiria kuzinduliwa kwa timu hiyo |
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Bajaji FC wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi |
Mbona mmeegemea timu moja tu?
ReplyDeleteMoja kwa moja kwa kusoma ishara inaonekana Bajaj ni TAWI LA JANGWANI!
Sasa Bajaj F.C mkikutana na Toyota VX-V8 Land Cruiser au Mpinzani wa karibu TOYO mtasemaje?
ReplyDeleteUZALENDO mwingine mwanawane?
ReplyDeleteMtakuwa hakumkuwatendea haki wengine, ni wazi watasononeka kichini chini!
Ina maana wooote waendesha Bajaj mtakuwa ni wana Yanga S.C?, ni kweli hamna wa Simba ?