Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamaa anaongea utadhani kameza radio!!
ReplyDeletehivi hao jamaa walimaliza hata darasa la 7?au wanafanya comedy kama kina joti?? tupo nje ya nchi sote na maisha na mazingira ya huku wote tunayajua.ukiwa unaishi kwa maisha ya box huku utapaona peponi,lakini kama una taaluma yako,huwezi ukakaa na kuwakandia wabongo wenzako au nchi yako.kwa taarifa yenu kwa mwenye taaluma yake,miaka 5 hadi 10 inatosha kabisa kwenda kujenga pepo yako bongo!!
ReplyDeleteHawa jamaa pamoja na kwamba watu wanawarushia madongo lakini kiukweli vitu vingi wanavyoongea ni vya KWELI tupu...sawa hawako kimpangilio but always "message delivered"...wanaongea sense na wanawafundisha pia..big up guys i like the way u talk simple but message sent n' delivered!!!
ReplyDeleteMdau wa London.
ReplyDeletewatu wataponda lakini jamaa wanaongea ukweli kabisaa atakaebisha ujue yame mkuta
nakubali kwamba hawa wanaonekana waswahili kutokana na elimu hakuna lakini jamaa wanaongea ukweli kabisaa
tena wasichana wa bongo ndo usiseme hawafaiii
me naomba email au namba za hawa watu ili nikifika huko wakati wa likizo ni watafute hawa hata niki umwa watanisaidia na uhakika sio watu wengine wanao ishi huko
ReplyDeletesio kweli marekani hakuna kazi kabisaa tena walivyo tangaza strict immigration policies ndo watarudi woote
jamaa noma wanaongea ukweli
Ughaibuni wote tunajua kama ukiwa na makaratasi mambo yako mazuri. Hata kama huna pesa sawa welfare au benefit utapata. Tatizo kwa wazamiaji ndio kubwa. Mzamiaji hawezi kudai haki, akiumwa anaogopa kwenda hospitali, kazi inabidi adhulumiwe mpaka siku apate makaratasi. Hivyo ndio sababu kubwa watu wanashindwa kustahamili na kusema bora bongo. Nchi za EU sasa wanaweka mkakati mkali kuhusu wazamiaji. UK wamenunua ndege maalum ya kurejesha wazamiaji majumbani kwao. Pia nakubaliana na mdau hapo kitu kibaya kinachowarejesha nyuma wazamiaji wengi ni ndugu zao nyumbani. Ushauri wangu ni ule ule watu wajitahidi kufanya kazi kwa bidii popote pale walipo duniani. Atakaye bahati kufika ughaibuni basi asikate tamaa kirahisi.
ReplyDelete
ReplyDeletehahahaha balaaa
hawa watu akili zao zinawatosha wenyewe kabisaa wala sio bure ila wana furahisha sana
Hi Bro Michu!!!,
ReplyDeleteNampongezasANA JAMMAA ALIYEVAA SHATI JEUPE KWA UKELEZA UKWELI WA MAISHA YA uGHAIBUNI NA KWA HEKIMA ZAKE ZOTE NINGEPENDA MAONGEZI HAYA YAFIKISHWE ITV ili watanzania wenzetu waliopo hapo Bongo wajue kuwa Ughaibuninsi lelemama!!!!!!!!!!!! ispokuwa akili kichwani na ushirikiano sio Visa wqala hasira , havileti maendeleo kimaqisha hususani ukiwa ughaibuni. Alichokielezea ni kweli na ndivyo inavyofanyika na kutendeka kila siku!! na itabakia hivyo vizazi vyote kama hatutakubali sisi wenyewe kubadilika kimaadili , kimila , kiutamaduni, kifikra na kimienendo. Naomba msemaji mkuu wa mjadala huu yaani mwenye hati jeupe) tuwasiliane kwenye email:bennyngasa@yahoo.de.
Nitashukuru ukuniwakilishia ujumbe huu bro!!!!!
Mnajitahidi kurekebisha nadhani siku zijazo itanoga zaidi.
ReplyDeleteTena boss Benja umesahau ungekumbusha pia ughaibuni sio hakuna neno njaa tu bali huku kuku ni kama maharage...I mean ni mboga ya kila siku sio mpaka Xmas..heeheehee.
ReplyDeleteBaba nyoka wambie hayo hawajakaa mtaani. Walikua madeleva wa sinia bongo
ReplyDeleteHiki kipindi nakifagilia,jamaa wanachekesha na wanatumia njia rahisi kufikisha ujumnbe wao.Kuna mambo madogo ya kurekebisha,lakini kazi ni nzuri.BIG UP.
ReplyDeleteJamaa Anonymous wa kwanza kabisa kwenye maoni, dah!!! umenichekesha sana, eti jamaa "Jamaa anaongea utadhani kameza radio!!" Yaani nipo kazini ofisini wezangu wanashangaa nacheka nini. Anyway, jamaa wanaongea mambo ya kufundisha na ukweli. Maana jamaa Bongo ukiwaambia bwana huko kazi iko hivi au vile wanabisha wanasema mbona wewe urudi? au huko hivyo?! Lakini wanasahu kila mtu na bahati yake, wengine ujanja wao, wengine kweli bado wanasaidiwa toka Bongo na wazazi zao. Mie kwangu naona ugumu wa maisha Marekani ni kutokuwa na umoja wa kiAfrica,ushirikiano. Sababu watu wakifika hapa kila mtu kivyake vyake.
ReplyDeletehahahahaha nimependa mzungumzaji alipomwambia ''sasa ndo ivyo bwana jabiri najua kinachokuumiiza wewe ni child support'' kwa hiyo Jabiri anaumizwa kweli na mkewe
ReplyDeletehahahaha majina ya watoto shawwan, shakwinti, shankwiraa, mwishoo kiwandaaaa hahahahaha bwana jabiriii weeee
ReplyDelete