Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania  Mhe. Mallallah  Mubarak Alameri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili  ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mhe. Sheikh Balozi wa UAE anatoa kicheko na tabasamu cha kuashiria ya kuwa anakwenda kule tende na maziwa ya ngamia kwao UAE baada ya kuzi miss kwa muda mrefu akiwa huku!

    Ingawa kwa muonekano wake unaweza kumfikiri labda na yeye ni Maganga kama sisi!

    ReplyDelete
  2. Ndiyo, balozi huyu ni mweusi (mwarabu mweusi). Si waarabu wote weupe, kuna masalia ya utumwa.

    ReplyDelete
  3. Huyo ni maganga lakimi kule wanaheshimiwa sana tena wako wengi akina Girgir.

    ReplyDelete
  4. Muadhin wa kwanza wa msikiti wa madina enzi za mtume Muhammad (SAW) na katika waafrika wa kwanza kuslim alikuwa ni Hamza ambaye ni mwafrika sasa kizazi chake kweli kitakuwa kimepotea. Na walikuwa wengi.

    Na kweli watumwa walikuwa wengi wakati huo lakini hawakubaguliwa kama walivyobaguliwa huko marekani.

    ReplyDelete
  5. Si Watumwa tu ndio wameproduce vizazi hivi. Waafrika(watu weusi) walikuwepo maeneo hayo toka enzi na enzi. Soma historia tofauti si hivi vitabu viliandikwa na waliotutawala. Vinapenda kuanzia historia ya mwafrika na Utumwa au Ukoloni. Kumbe tulitawala mpaka sehemu za kunakojulikana kama uarabuni.

    ReplyDelete
  6. alikuwa ni Hanza au Bilal? nadhani ulimaanisha Bilal ndie aliyekuwa Muadhini wa Kwanza wa Msikitini wa madina.

    ReplyDelete
  7. Muadhin wa kwanza wa msikiti wa madina enzi za mtume Muhammad (S.A.W) na katika waafrika wa kwanza kuslim alikuwa Bilal sio Hamza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...