Kampuni
ya bia ya Serengeti imezidi kukonga nyoyo za wapenzi wa bia jijini Dar Es
Salaam kupitia kinywaji chake cha Tusker Lite . Kinywaji hicho cha
ukweli kilizinduliwa mwezi Novemba mwaka jana . Tusker Lite ina
wanga kidogo na ladha halisi ya kuburudisha. Kwa mujibu wa matukio
yanayoendelea katika baa mbalimbali
jijini, wapenzi wa bia wamepata fursa ya
kuzungumza na mabalozi wa kinywaji hicho na
kukiri kuwa Tusker Lite ina ladha
murua na kukubali kuwa Tusker Lite ni Lite ya ukweli .
Home
Unlabelled
Bia ya Tusker Lite yatikisa jiji la Dar Es Salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...