Home
Unlabelled
biashara huria oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
makubwa ukila usikii njaa wiki nzma au?
ReplyDeletepole sana usiku huu nawewe unakwenda wapi? ungeanzia kariakoo .bonge la halfcake 250/- kahawa 100/-usingetumia hata buku!
ReplyDeleteInategemea na gharama za pango labda, otherwise huo ni wizi uliohalalishwa, na mnunuzi anaibiwa kwa hiari yake.
ReplyDeleteMgahawa huo wako dunia gani,hata Davos[swiss] andazi halijafikia bei hiyo,fair trade,rubbish;
ReplyDeletedoughnut!!!!!!!!!! Hilo linaitwa kafie kwenu. hata jiwe lina sura nzuri. Loooo, Hivi hata tundu ya doughnut hamwezi kuicopy na kupaste.
ReplyDeleteTatizo nini? Kwani lazima ule hapo?Malalamiko kila siku wewe Tuachie wenyewe nyie nendeni huko huko kwenye nafuu.
ReplyDeleteWAPI BEI ELEKEZIIIII???? kwa kweli huu ndio wizi uliotukuka..watu hawaoni hata aibu jamani??
ReplyDeletekuna haja ya kutafuta kitengo cha kushughulikia hizi bei za vyakula migahawani kama ilivyo kwa EWURA na SUMATRA...
upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi
ReplyDeleteNahisi mmiliki wa mgahawa alibase sana na exchange rate ya ama UK Stg Pound au US Dollar. Kwa bei zake (madafu)ukiibadilisha kwenda ktk pesa hizo za kigeni, na maeneo kama hayo (airports)duniani, mjasiriamali huyu hajakosea kabisa. Anaweza asiwe na nia ya kumkomoa mtu, ila tu angezogeza hiyo biashara yake pale jirani njia panda na au maeneo yanayofanana nayo, hapo inabidi tulalamike. Ni maoni yangu tu
ReplyDeleteTatizo la nchi yetu wafanya biashara wanatufanya wajinga.acha hiyo ukienda south Africa ,mr price no Duka la masikini wasio weza kununua nguo Maduka mengine lakini uku ndo matajiri wanaingia
ReplyDeleteJamani yaani siku moja nilikua nasafiri, sasa kwa pilika sikuweza kula nyumbani mapema nikasema nitakula airport na nilikuwa na mtoto, kwa kweli nilichoka na bei za pale, naungana na mdu aliyesema utafikiri ukila hapo basi utashiba wiki nzima. kwa kweli vimigahawa vya airport yetu ni wezi wakubwa
ReplyDelete
ReplyDeleteYaani mnakosa kazi kaisaa kazi kujadili ujinga hahahaha haha bure kabisaa
hamjui kama hapo ni airport lazima bei iwe juu kama hutaki nenda kanunue kkoo hujalazimishwa mwenzenu analipa kodi na ukisha nunu risiti unapewa kabisaa ina TIN number tena anatumia fiscial device
acheni ujinga jamani think wise
aah hizo sehemu za kina ankali na mafisadi wenzake ndio wanaziweza teh teh teh teh hata huku ughaibuni hilo andazi halijafikia bei hiyo tunanunua mandazi 4 kwa euro 2 ni sawa na hiyo buku 4 ya huko ina maana kila andazi ni sent 50 sawa na buku moja ya huko tz
ReplyDeletemaisha mema watanganyika.
JAMANI PICHA YA DOUGNUT GANI INASHEPU KAMA MAVI?HUYU SHEFU ANATUAIBISHA KAUZIE MANZESE.
ReplyDeleteHapo panawafa watu wenye hera zao. Sio sisi tunaoishi maisha ya kutumiachini ya dora 1 kwa siku
ReplyDeleteWee, Anonymous said.... Sun Feb 03, 12:09:00 pm 2013, Mimi niko hapa LONDON, Uingereza hizo sio bei zake hata Heathrow Airport sijaona bei kama hiyo converted into UK Stg Pound au US Dollar. Hii ni kutapeli watu. Wanaweza kununua kwa sababu wana njaa au Wazungu kununua kwa sababu ni chakula walichokizoea.
ReplyDeleteHata kama ni Airport rates, Dar es Salaam haiilingani na Heathrow (UK)
au JFK Aiport (USA).
Andazi na Ghahawa inauzwa ktk 'Duty Free shop' hapo Dar JNIA ndo maana bei ni kubwa.
ReplyDeleteMdau
Amsterdam
Umelazimishwa kula? umetaka mwenyewe kuibiwa.
ReplyDeleteKwanza hizo bei ni rahisi sana maana ulanguzi kwa wasafiri ni kawaida hata pale El jaziira wako hivyo na wale wauzao vinywaji ktk mabasi ndo usiseme. Ufisadi kula kona. Man eat man.
ReplyDeletemnaongea sanaaa, bei za viwanja mbona hamuongei au bei za pango pale kariakoo mbona hamuongei,kwani hizo bei zinasimamiwa na nani? au ndio globalization? hii nchi imelogwa,chezea kubadilishana udongo weyeee.kafara la kufa mtu labda Yesu arudi.
ReplyDeleteBongo akili kichwani,
ReplyDeleteLa muhimu ukijiandaa na safari kula zako Gengeni moja kwa moja huko Vingunguti,Ukonga Banana au nje ya Uwanja wa Ndege kwa kuwa Bei za ndani ni kwa Wasafiri LUXURY WA DARAJA LA KWANZA na walio kuwa Mabosi wanaoaminika hawana hela za mawazo!
Kahawa zinazouwa Tsh.50/= na Vijana wa Mabirika mikononi kwetu Keko Magurumbasi Uwanja wa Ndege Tsh. 1,500/=?
ReplyDeleteHiyo bei ni PAMOJA NA VIWANGO VYA WIZI badala ya VIWANGO VYA UBORA!
Sasa mnabisha nini Kahawa kuuzwa Tsh.1,500/= kwa kikombe?
ReplyDeleteMnajuaje kama Waandaaji wameichanganya na poda la mizizi ya 'MKUYATI' ndani yake?
Wafanyabiashara wengi Tanzania hasa hivyo vimigahawa wanadhani ni ujanja kuwagonga watu ndio maana biashara zao hazikui zinabakia palepale hvyo vyakula vyote wanavyouza hapo ni JUNK FOOD kwasisi tuliotembea sehemu mbalimbali duniani na hata wazungu wajanja hawanunui hivyo vyakula vilivyo jaaa mafuta na wanga kwa wingi tunaviita vinnenepesho sio vyakula vizuri kwa afya yako. Wasio elewa atawapata wajanja wanao elewa hawatanunua hata mmoja
ReplyDeleteMdau UK
sasa ww mdau wa LONDON unayenibishia kuwa heathrow haifiki bei kulingana na hizo, je kile kikombe cha kahawa, au capuccino pale Cafe COSTA au Starbucks cha zaidi ya 2 pounds, je ukiibadilisha kwa madafu bado tu haifikii kama siyo kuizidi hiyo sh 1,500/=? Kama ni hivyo, je unaweza unaweza kupata kahawa pale heathrow ya 60pence ambayo ni sawa na hiyo 1500 ya bei ya hapo Kipawa? Kama kweli ww upo UK, 60p ni bei wanayouzia kajikombe ka kawaha ktk bookies kama Coral. Na kama kweli ile migahawa yenye majina itakapouza kwa hiyo 60p, basi nahisi siku hiyo mateja, ma-homless woooote wa UK wataenda kalala kuhemea hapo. KWA HERII
ReplyDeletehuu ni wizi, hata Washington DC andazi kama hilo ni shilling 1500 tu
ReplyDelete