Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mzee wa kuchanaFebruary 05, 2013

    Ndio Tz. bana hii! yote haya ni 'UFUNDI' wa wale wanaosheherekea miaka 50 ya chama kile safi, kisikivu,kisichopenda ufisadi, kisicho na hila, elimu bora kwa wananchi wake, hahahaaaaa!

    KIGUMU chama hiki jamani!

    ReplyDelete
  2. Ukweli mtupu!!! Yaani Watanzania kwa mambo ya magumashi na blah blah kibao! Hii nchi haiwezi kuendelea kabisa!!

    ReplyDelete
  3. Huo Mkokoteni hautumii injini yeyote lakini kiti chake kilichopo hapo alipokaa Mkubwa CHA MOTO balaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...