Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikiliza maelezo ya Daraja la Maragarasi kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya HANIL ambao ni Wakandarasi wa ujenzi wa Daraja hilo,Bw. Jung-Sik You kutoka nchini Korea,leo Januari 4,2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kigoma mmeletew Daraja la kuwaunganisha na mikoa mingine na airport ya kutua ndege za kuwabeba nyie na mizigo yenu na ziwa tanganyika na ardhi ya kutosha na mmepakana na nchi za burundi congo na rwanda ni karibu,na wwatu wa kigoma najua wengi wana akili sana za kusoma,sasa fanyeni kazi mjiletee maendeleo muache kulalimia nyie ni maskini mna kila sababu na uwezo wa kujiondoa kwenye umaskini sasa..all the best

    ReplyDelete
  2. jamani kama kuna mtu ana hotuba ya uzinduzi wa daraja hili naomba aweke hapa tuisome, kama ilivyowekwa ya miaka 36.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...