OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA
TAREHE 6 – FEBRUARI 2013, UMETIMIZA MIAKA 19 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIENDELEA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU AWAKUTANISHE KWENYE RAHA YA MILELE NA MUME WAKO MPENDWA MWALIMU NOVATI RUTAGERUKA AMBAYE SIKU ZOTE ALIKUKUMBUKA KATIKA SALA ZAKE KABLA NAYE HAJATWALIWA NA BWANA TAREHE 5 MEI 2010.
MNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WENU FROLIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU ITAADHIMISHWA JUMATANO TAREHE 6 - FEBRUARI - 2013 KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA, MBEZI BEACH, TANKI BOVU, DAR-ES-SALAAM SAA 12.30 ASUBUHI.
BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMINA
Mwenyezi Mungu azillaze roho zao mahali pema peopni, tutawakumbuka daima.
ReplyDeleteRaha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.. Amina!!! Sima .K.
ReplyDelete