Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kigoda toka kwa wazee wa Kigoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mbunge wa Manyovu Mhe Albert Obama na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dkt Walid Kaburu wakishuhudia
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma wakati wa sherehe hizo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi wa Kigoma waliokuwa wakimshangilia kwa nguvu kwenye sherehe hizo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuhutubia
James
ReplyDeleteI got your mail
KIGODA is a stool
Three legged seat
I will post to the blog
KIDUMU CCM!
ReplyDeleteManeno yametuishia c5m wana kazi.
ReplyDeleteMai God! wakwenda Musoma, K'njaro au Arusha kwa waliolimika wangekiona cha moto! bahati yao wamekwenda kwa WALIOLALA!
ReplyDeleteMbona wengi wamevaa kama mashabiki wa SIMBA?
ReplyDeleteFita Fita acha matusi. Ni kweli kwamba ccm inaudhaifu unaaonekana labda kwa vile iko madarakani kuliko udhaifu wa wengine ambao hawako madarakani. Kwa kuwa njia za watu kutatua matatizo yao zinatofautiana na hakuna suluhisho moja hata kama tatizo ni moja, toa hoja zako kwa adabu. Watu kukataa kudharauliwa ndio miongoni mwa vyanzo vya uvunjifu wa amani. Kwa hiyo hao uliotaja wa maeneo yao ndio bora katika Tanzania? Sio wezi? Hawana mchango wowote kwa nafasi zao ambazo huenda wamepata katika serikali ya nchi hii kuongoza maeneo unayoita wamelala? Ukarimu wa watu wa maeneo waliolala kukukaribisheni na ndio umewaponza? Mimi sitokei Kigoma lakini nakuasa uchunge kauli zako kwani ndimi zinaponzea vichwa!
ReplyDeletesesophy@yahoo.com