Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kigoda toka kwa wazee wa Kigoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika uwanja wa Lake Tanganyika  mjini Kigoma, huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mbunge wa Manyovu Mhe Albert Obama na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dkt Walid Kaburu wakishuhudia
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma wakati wa sherehe hizo
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi wa Kigoma waliokuwa wakimshangilia kwa nguvu kwenye sherehe hizo
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuhutubia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. James
    I got your mail
    KIGODA is a stool
    Three legged seat
    I will post to the blog

    ReplyDelete
  2. KIDUMU CCM!

    ReplyDelete
  3. Maneno yametuishia c5m wana kazi.

    ReplyDelete
  4. Fita ni Fita MurraFebruary 04, 2013

    Mai God! wakwenda Musoma, K'njaro au Arusha kwa waliolimika wangekiona cha moto! bahati yao wamekwenda kwa WALIOLALA!

    ReplyDelete
  5. Mbona wengi wamevaa kama mashabiki wa SIMBA?

    ReplyDelete
  6. Fita Fita acha matusi. Ni kweli kwamba ccm inaudhaifu unaaonekana labda kwa vile iko madarakani kuliko udhaifu wa wengine ambao hawako madarakani. Kwa kuwa njia za watu kutatua matatizo yao zinatofautiana na hakuna suluhisho moja hata kama tatizo ni moja, toa hoja zako kwa adabu. Watu kukataa kudharauliwa ndio miongoni mwa vyanzo vya uvunjifu wa amani. Kwa hiyo hao uliotaja wa maeneo yao ndio bora katika Tanzania? Sio wezi? Hawana mchango wowote kwa nafasi zao ambazo huenda wamepata katika serikali ya nchi hii kuongoza maeneo unayoita wamelala? Ukarimu wa watu wa maeneo waliolala kukukaribisheni na ndio umewaponza? Mimi sitokei Kigoma lakini nakuasa uchunge kauli zako kwani ndimi zinaponzea vichwa!

    sesophy@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...