Home
Unlabelled
MAONGEZI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA WANAHABARI MJINI DODOMA JUU YA SAKATA LA GESI MTWARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimesikia hotuba ya Rais na pia Waziri mkuu. Tatizo lililokuwapo ni kwamba Serikali haikuwa na utaratibu wa kuwaelimisha wananchi in time. Wananchi wa Mtwara walikuwa hawajuwi kinachoendelea kuhusu program nzima ya projects zilizopo mkoani. Fujo zilitokana na wasiwasi wakutokujuwa linaloendelea. Watanzania tunajulikana na tunasifa ya utulivu hivyo Wananchi wasiachwe kwenye giza. Transparency creates peaceful minds.
ReplyDelete