Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam.
 |
Rais wa TPBO Yassin Abdallah kulia akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wa ubingwa Wa IBF kati ya Thomasi Mashali kushoto na Fransic Cheka ayupo pichani katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam. |
 |
Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam.
|
 |
Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam |
 |
Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam |
 |
Bondia Franisic Cheka kushoto na Thomasi Mashali wakiwa wameushika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa watakaogombania mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba wakati wa kutambulisha mpambano huo katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam na Khalid Kibavu |
 |
Mabondia Thomas Mashali kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano wa kucheza mpambano na Fransic Cheka kulia katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam |
 |
Promota wa Mpambano wa ubingwa wa IBF Tanaka Adam katikati akiwaelekeza mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka jinsi ya kusaini ya mkataba wa makubaliano wa mpambano wao utakaofanyika mei mosi mwaka huu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...