WATANZANIA WENZANGU MIMI NI MDAU NINAYEISHI SWEDEN YA KUSINI. NINATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA KUUZA MAGARI/ SPEA PARTS SWEDEN- TANZANIA. ILA KUNA CHALLANGES NDOGONDOGO NAPATA. KAMA YUPO MTU MWENYE AIDIAZ NA HILI, MWENYE KUTOA USHAURI AU ANAYEPENDA KUFANYA BIASHARA HII NA ANAISHI HAPA, NAOMBA TUWASILIANE KWA EMAIL:florence.mndeme@yahoo.com 

 ASANTE SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mawazo yako ni mazuri. Ila magari yanayoruhusiwa TZ ni lazima yawe yanakubalika kuendeshwa Sweden yaani yamepasi (MOT) ya Sweden mpaka yatakapofika TZ (roadworthy) kwa maneno mengine magari yakifika Bongo yawe bado na MOT ya Sweden. Pia kuna ushuru wa aina mbili. Kama gari lako limetengezwa zaidi au chini ya miaka 10. Pia ujuwe kuwa magari Bongo yanatembea kushoto hivyo upande wa dereva uwe kulia. WaTZ hawapendi magari yasiokuwa na spare Bongo. Hivyo ushauri wangu ujaribu kuleta magari ya kijapani. Kwa ushauri mwengine kuhusu Sweden nenda "Citizen Advice Bureau" ya Sweden kuhusu leseni, usafirisha wa magari, V5, minada ya magari n.k.

    ReplyDelete
  2. Hivi magari ya ulaya yanauzika Tz, nna maana kuwa gharama yake itakuwa kubwa sana wakati kuna yanayotoka japan yako bei nafuu. Hu ni mtazamo wangu tu, unless unapeleka yaliyotupwa huku ulaya.

    ReplyDelete
  3. Write up mission and vision, design your proposal then talk to expertise to see the possibilities. See what is happening with Japanese cars in Tz! What difference will u make to compete!
    4 now think about that first.

    ReplyDelete
  4. Toa Rushwa mambo yako yataenda haraka haraka!

    ReplyDelete
  5. Jingine ni Kamati ya Ufundi ili mpango wako wa biashara uende ni katika Msaada wa Kibiashara ni kuonana na 'Mwalimu' ili asome kidogo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...