![]() |
Kaimu mhifadhi katika hifadhi ya Mikumi Damian Saru akiteta jambo na mwandishi wa habari mwandamizi wa ITV Kanda ya Kaskazini James Paul (mwenye shati jekundu) wakati wa kuangalia njia hiyo mpya. |
Moja ya wanyama aina ya Duma ambao pia wanapatikana katika njia hiyo.
Ili kuweza kuendelea na safari kutizama njia hiyo wakati mwingine waandishi walilazamika kushika bereshi ili kuweka njia sawa kwa gari kupita.
Maeneo mengine ukarabati uliendelea katika njia hiyo mpya.
Watalii katika hifadhi ya taifa ya Mikumi wakipita katika njia mpya ya utalii iliyofunguliwa hivi karibuni iliyopo upende wa kusini mwa hifadhi hiyo.
Njia katika eneo hilo maarufu kama Vuma Circuit.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...