Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akifafanua jambo wakati mkutano na wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF. Kushoto ni Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika hilo, Mseli Abdalah.
Mhariri
Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu akizungumza
wakati wa mkutano na viongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) kuhusu mikopo ya Saccos.
Meneja
Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Mseli Abdalah akifafanua jambo kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa
NSSF wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu, Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Mwenyekiti wa Saccos ya Mwananchi Communications Ltd, Haura Shamte akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mpoki
Bukuku akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa wafanyakazi wa Mwananchi Communications
Ltd kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF.
Wafanyakazi wa Mwananchi Communications wakiwa katika mkutano huo.
Meneja
Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Mseli Abdalah akitoa mada kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF
wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd jijini
Dar es Salaam, leo.Picha na Francis Dande.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...