Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kuwatambulisha wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM ilkiyofanyika katika viwanja vya Makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCm Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM nje ya ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).
So what happens to Shonza now after being welcomed by the Chairperson? Very interesting - good luck young lady!!
ReplyDeleteBINTI NA SIASA
ReplyDeleteVijana wawili wametumia akili za ziada!
ReplyDeleteWamepiga Bao kuhama CHDM!
Walipokuwa Chadema wasingeweza kuonana na Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama, lakini ile kuingia CCM wanapokelewa na Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu!
Je, Uamuzi wao mnaounaje?
Uwezekano upo kuonana na Yesu atakaporudi, kuliko uwezekano wa Mwana Chadema Kiongozi wa Wilayani huko kuonana na Mbowe au Slaa!
ReplyDeleteMngeendelea kubakia kwenye Chama cha Uchaggani inawezekana hadi Kifo chenu msingeweza kuonana na Mwenyekiti (Mbowe) au Katibu Mkuu Slaa)!!!
ReplyDeleteMnayo kila sababu ya kuona Tija kwa kuingia CCM!