Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmojaMmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja

Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo. Redds inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele chake ni tarehe 14/02/2013


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu binti muuza, hachukizi, jina and contact please!

    ReplyDelete
  2. hahahaaa....anony emenchekeshaje!? eti hachukizi....shairi sentensi fupi, maudhui kibao! lol!

    Eddy
    Van

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...