Safari ya kuwa daktari ya mwanangu Wayne Gerson Msigwa inazidi kupamba moto. Hapa nimemfuma anaipiga book mara baada ya kupata msosi. Amenifurahisha sana wakati natoka kupiga boxi TBC ONE na kumkuta katika hali hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mungu amsaidie kufanikisha lengo lake.

    Penye nia pana njia.

    ReplyDelete
  2. HONGERA WATOTO WENGI WANAFANYA ZAIDI YA HAPO WEWE,USIJE UKADHANI NI WAKWAKO TU.

    ReplyDelete
  3. Kama kweli kakufurahisha mzazi mtafutie basi meza halisi ya kusomea na sio kusomea ktk meza ya msosi.Yatakua maandalizi ya uhakika.

    ReplyDelete
  4. Wats the hell r u talkin abt??????????

    ReplyDelete
  5. Mimi nampongeza. Kaza buti kijana. Haijalishi unasomea wapi mradi unaelewa.

    ReplyDelete
  6. "masikini akipata, vikalio hulia mbwata", eti umnunulie meza maalum! kijijini kwenu kuna meza? watu walisomea kwenye mafiga, na sas mambo poa.

    ReplyDelete
  7. Wayne Rooney.

    ReplyDelete
  8. Nakuunga mkono anonymous wa tano haijalishi unasomea wapi ili mradi anaelewa kaza buti mwanangu uwe kama baba yako,atanunua tu hata hizo mnazofikiri ni meza za kusome safari ya mita 1000 huanza na moja (Baba Mkubwa a.k.a Mr. POT)

    ReplyDelete
  9. Kijana mkubwa hivi bado yuko kwenye aaaaaaa eeeeeeeee iiiiii ooooooo uuuuuuuu! itabidi akapigane ndondi kama baba yake

    ReplyDelete
  10. kazana dogo uwe na uwezo wa kufikiri kama baba yako...kwani namkubali sana kati ya wanahabari wa TBC wanaojua kutafuta habari na kuzireport. Hongera baba, hongera mtoto...endelea kumfariji na kumtia moyo dogo atafika..ukipata tuhela utanunua meza nzuri tu ya kusomea kwani meza ya msosi ni nini bwana..shule ndo ya muhimu.

    ReplyDelete
  11. mbona mnaruhusu hisia za watu kujeruhiwaaa???????

    ReplyDelete
  12. ALL THE BEST WAYNE. MY ADVICE TO YOUR DAD, HE SHOULD NOT PICK A PROFESSION FOR YOU. THE WORLD IS CHANGING, WHAT IF YOU WANT TO SPECIALIZE IN COMPUTERS? MR MSIGWA LET YOUR SON STUDY AND HE WILL MAKE HIS DECISION WHEN THE TIME IS RIGHT!
    MY FAMILY WANTED ME TO STUDY SCIENCE, IT WAS A BURDEN AND VERY DEPRESSING!
    I AM NOW A LAWYER AND A VERY HAPPY ONE!

    ReplyDelete
  13. Kila la heri dogo. Hata hivyo akiboreshewa mazingira ya kusomea itakuwa vema zaidi. Hii ni karne ya 21 na mazingira yanaonesha mzazi anazo hivyo ampembejee na sote tuwaboreshee wanetu masomoni. Tuache fikra mgando.

    ReplyDelete
  14. kama ndiko amekuchagua huko mpe support ya kutosha kufika huko anakoelekea

    ReplyDelete
  15. Ongera kijana, mpe moyo sana, kwani naona Wabongo tumekuwa watu wa kukatisha wenzao tamaa, badala ya kutoa moyo penye mazuri tunakatisha tamaa. Mungu hatuepushe na moyo wa Kishetani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...