Home
Unlabelled
Safari ya kuwa daktari ya Wayne Gerson Msigwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mungu amsaidie kufanikisha lengo lake.
ReplyDeletePenye nia pana njia.
HONGERA WATOTO WENGI WANAFANYA ZAIDI YA HAPO WEWE,USIJE UKADHANI NI WAKWAKO TU.
ReplyDeleteKama kweli kakufurahisha mzazi mtafutie basi meza halisi ya kusomea na sio kusomea ktk meza ya msosi.Yatakua maandalizi ya uhakika.
ReplyDeleteWats the hell r u talkin abt??????????
ReplyDeleteMimi nampongeza. Kaza buti kijana. Haijalishi unasomea wapi mradi unaelewa.
ReplyDelete"masikini akipata, vikalio hulia mbwata", eti umnunulie meza maalum! kijijini kwenu kuna meza? watu walisomea kwenye mafiga, na sas mambo poa.
ReplyDeleteWayne Rooney.
ReplyDeleteNakuunga mkono anonymous wa tano haijalishi unasomea wapi ili mradi anaelewa kaza buti mwanangu uwe kama baba yako,atanunua tu hata hizo mnazofikiri ni meza za kusome safari ya mita 1000 huanza na moja (Baba Mkubwa a.k.a Mr. POT)
ReplyDeleteKijana mkubwa hivi bado yuko kwenye aaaaaaa eeeeeeeee iiiiii ooooooo uuuuuuuu! itabidi akapigane ndondi kama baba yake
ReplyDeletekazana dogo uwe na uwezo wa kufikiri kama baba yako...kwani namkubali sana kati ya wanahabari wa TBC wanaojua kutafuta habari na kuzireport. Hongera baba, hongera mtoto...endelea kumfariji na kumtia moyo dogo atafika..ukipata tuhela utanunua meza nzuri tu ya kusomea kwani meza ya msosi ni nini bwana..shule ndo ya muhimu.
ReplyDeletembona mnaruhusu hisia za watu kujeruhiwaaa???????
ReplyDeleteALL THE BEST WAYNE. MY ADVICE TO YOUR DAD, HE SHOULD NOT PICK A PROFESSION FOR YOU. THE WORLD IS CHANGING, WHAT IF YOU WANT TO SPECIALIZE IN COMPUTERS? MR MSIGWA LET YOUR SON STUDY AND HE WILL MAKE HIS DECISION WHEN THE TIME IS RIGHT!
ReplyDeleteMY FAMILY WANTED ME TO STUDY SCIENCE, IT WAS A BURDEN AND VERY DEPRESSING!
I AM NOW A LAWYER AND A VERY HAPPY ONE!
Kila la heri dogo. Hata hivyo akiboreshewa mazingira ya kusomea itakuwa vema zaidi. Hii ni karne ya 21 na mazingira yanaonesha mzazi anazo hivyo ampembejee na sote tuwaboreshee wanetu masomoni. Tuache fikra mgando.
ReplyDeletekama ndiko amekuchagua huko mpe support ya kutosha kufika huko anakoelekea
ReplyDeleteOngera kijana, mpe moyo sana, kwani naona Wabongo tumekuwa watu wa kukatisha wenzao tamaa, badala ya kutoa moyo penye mazuri tunakatisha tamaa. Mungu hatuepushe na moyo wa Kishetani.
ReplyDelete