Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Jamaa wanaselebuka mswano, halafu jamaa anawakatisha bila hata huruma.

    ReplyDelete
  2. kizazi kilichopotea na ukichanganisha na ccm, basi hakuna matumaini hapa.

    ReplyDelete
  3. watanganyiaka wanaburudika yaani hii clip made my day. Awesom kweli kweli

    ReplyDelete
  4. Nimeiangalia into details jamaaa kawabania sana ila nafikiri ni kwa wale jamaa walipoanza kumwaga Uno

    ReplyDelete
  5. Hiki ndio kipaji chetu pekee tulicho baki nacho.

    Mipira inatuhsinda,
    Ngumi tunapigwa,
    Kukimbia hatuwezi,
    Bunge letu kama Kijiweni,
    Muziki tunapiga mchiriku daima,

    Imebaki SEBENE ndio uwezo wetu tu!

    ReplyDelete
  6. Hapo ndio uwezo wetu na pumzi zetu zilipokomea!

    ReplyDelete
  7. Kwa Sebene hili la Wana CCM Kigoma Chadema hamna chenu!

    Moja kwa moja wakimaliza kucheza wanapanga foleni kupokea Kadi za CCM.

    Mtawezaje kuwazuia hao wachezaji kupokea Kadi za Chama cha Mapinduzi baada ya sebene lao?

    ReplyDelete
  8. Watanzania kwa ngoma na starehe,,,watacheza Rhumba usiku kucha kwa kukesha, lakini ulete sera za kufanya kazi za kujotolea kila mtu atatoa sababu ya kuwa na dharura!

    -Ohhh nimemaliza Dozi jana siwezi!
    -Ohhh nina aleji na kazi za pamoja!
    -Ohhh siku inayofuata nasafiri!

    -Ohhh,
    -Ohhh,
    !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...