Shamba lenye ukubwa wa heka moja na nusu linauzwa maeneo ya Kiromo, Bagamoyo, liko jirani na Kiromo View Resort kwenye barabara kuu iendayo Bagamoyo mjini, kiasi cha 10 tu. Lina kibanda cha vyumba vinne, linafaa kwa uwekezaji wa shughuli mbalimbali za kibiashara, kwani liko barabarani kama picha zinavyoonesha. Bei ni maelewano.

KWA MAELEZO ZAIDI, PIGA SIMU: +255 657 803139

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. He! kibanda cha vyumba vinne, hiyo kali.

    ReplyDelete

  2. LINA HATI?

    ReplyDelete
  3. TUWEKEE BEI BASI , MPAKA TUKUPIGIE SIMU?

    ReplyDelete
  4. "BARABARA KUU, UMBALI WA MITA 20 TU" THAT TURNED ME OFF!

    ReplyDelete
  5. Kwa wabongo utatajiwa bei ya ajabu. Sijui bei elekezi zitaanza lini.

    ReplyDelete
  6. Wasanii hao! Shamba halifiki hata ekari moja wanataka dola elfu themanini, halafu halina hati!

    ReplyDelete
  7. Uwezekano mkubwa Bei itaanzia Masifuri kama 9 hivi yakitanguliwa na namba 1. yaani kuanzia B moja!

    ReplyDelete
  8. Je, ule mpango wa Bomba la Gesi halipiti hapo?

    ReplyDelete
  9. Mkugugenzi tuwekee 'masifuri' kwa uchache tafadhali!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...