Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (wa pili shoto) akiwa na viongozi wa mkoa wa Lindi na wa kampuni ya Meis Industries inayojenga bonge la kiwanda cha Saruji pamoja na wakandarasi, akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho ambacho kitapokamilika kitakuwa na uwezo wa kuajiri wananchi zaidi ya 7,000.
Home
Unlabelled
Waziri Membe akagua kazi ya Ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mkoani Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...