Wachezaji Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar (kushoto) na Haruna Niyonzima wa Yanga wakiwania mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeao yalikuwa 1-1.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia moja ya shambulizi la timu hiyo, langoni kwa Mtibwa.
Vp wazee wa kualalumpa mnakuwa Kama hamjatoka uturuki? Hv mtibwa nao walienda wapi kufanya maandalizi ya ligi ya vodacom?
ReplyDeleteKweli Kandanda la Uturuki hilo kama alivyosema mdau #1
ReplyDeleteDavid V