Wachezaji Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar (kushoto) na Haruna Niyonzima wa Yanga wakiwania mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeao yalikuwa 1-1.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia moja ya shambulizi la timu hiyo, langoni kwa Mtibwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Vp wazee wa kualalumpa mnakuwa Kama hamjatoka uturuki? Hv mtibwa nao walienda wapi kufanya maandalizi ya ligi ya vodacom?

    ReplyDelete
  2. Kweli Kandanda la Uturuki hilo kama alivyosema mdau #1

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...