Baada ya ndege ya Precision air PW 0403 kubuma hapo jana jioni na abiria wote kulazimika kulala Dar, asubuhi hii wamebadilishiwa ndege na kupanda PW 0401 kwenda mtwara. Jamaa wanasema hii haibumi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yaani naomba usiku na machan hili shirika life kwma lilivohujumu air tanzania ikafa Mungu yupo na wote waloshiriki na wanaendela kushiri wote watafilisika tu .

    ReplyDelete
  2. POLENI WASAFIRI - IT HAPPENS FOR ANY AIRLINE.
    BIG UP PRECISION AIR, JUST MAKE SURE YOU HIRE PROFESSIONAL STAFF IN YOUR OFFICES ESPECIALLY ARUSHA AND ZANZIBAR. IF POSSIBLE ENHANCE YOUR ONLINE BOOKING - YES YOU CAN

    ReplyDelete
  3. Haya afadhali umeanza kutupa ukweli wa hili shirika maana cku zote news zao wanaficha na sio km shirika pinzani km yanga na simba ambalo niwakweli, wawazi na wanajali abiria wao kwakuwapa news zao bila kificho ambayo inawasaidia kuendelea nakupendwa cku zote, wangebebwa na atcl maana cku hizi wanakwenda mtwara.

    ReplyDelete
  4. PRECISION AIR JUU

    ReplyDelete
  5. JUU PRECISION !


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...