Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua shule mpya ya msingi ya Mabwepande jijini Dar es salaam leo iliyojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Home Shopping Cenrre
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni kabla ya kuzindua shule mpya ya msingi ya Mabwepande jijini Dar es salaam leo iliyojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Home Shopping Cenrre
Rais Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi wa Home Shopping Centre wakati akikabidhi shule hiyo
Rais Kikwete akimshukuru Mkurugenzi wa Home Shopping Centre kwa kujenga shule ya msingi Mabwepande yenye majengo na samani za kisasa. Picha na Raqey Mohamed
Muumba awalipe
ReplyDeletePONGEZI KWA TAASISI HIZI BINAFSI KWA KUJITOLEA KUDUMISHA HUDUMA KATIKA JUMUIA ZETU MASIKINI KWA KUJENGA SHULE NA KITUO CHA POLISI NA KUZIKABIDHI SERIKALINI. NASHAURI SERIKALI IANZISHE MEDANI YA (PRESIDENTIAL SOCIAL RESPONSIBILITY MEDAL/SHIELD) ZENYE NGAZI KAMA DHAHABU, FEDHA, SHABA, ETC ILI HAWA WANAOJITOLEA WAKABIDHIWE HIZO MEDANI NA RAISI KATIKA SIKUKUU YA KITAIFA MFANO SIKUKUU YA UHURU. PONGEZI YA MDOMO, KUPIGA PICHA NA RAISI NA KU-SHAKE HAND NA RAISI KWA ZAWADI KUBWA KWA JAMII KAMA HII HAITOSHI. JOESHEFFU, DAR
ReplyDeletekidogo kidogo tanzania is moving up!
ReplyDelete