Jumuiya ya uongozi wa wanafunzi waishio na na wasomao Bangalore - India (TASABA) unapenda kuwaalika wanajumuiya wote na wazazi katika mahafali ya saba (7) ya wahitumu katika fani ya diploma, stashahada ya kwanza na ya pili mnamo tarehe 6th April 2013, yatakayofanyika katika ukumbi wa “COUNTRY CLUB” uliopo 55/1 Deevarbeesanahalli, Sarjapur Outer Ring Road,Marathahalli,Banglore.
Wahitimu wapatao 45 wanatarajiwa kuhitumu siku hiyo katika fani mbalimbali. Tunategemea kuwa Mheshimiwa balozi, ENG. JOHN W.H. KIJAZI, Atakuwa  mgeni rasmi katika mahafali haya. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na uongozi kwa namba zifuatazo;
 +918197161413 – Mwenyekiti wa jumuiya
·         +919742487082- Mshauri mkuu wa jumuiya
·         +918884934829 - Makamu mwenyekiti wa jumuiya
 Tunategemea usirikiano wenu wa hali na mali  katika kufanikisha shughuli hii.
 Wako,
 Mr. HENRY MNDEME
Mwenyekiti-TASABA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...