- Baada ya kufanya vizuri sana katika mikoa ya Mbeya, Dar Es Salaam na Mwanza, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia fainali za mwisho katika miji ya Arusha na Moshi weekend hii!!.
- Kwa Arusha fainali zitafanyika Jumamosi hii tarehe 23 March, katika Kiwanja Cha General Tire, kuanzia saa 4.00asbh. Njoo ushuhudie bar za Arusha zilizoingia fainali zikichuana kukupa Nyama Choma Bomba zaidi;
- QX Pub – Kijenge.
- Blue Line Park – Kwa Iddy.
- VIP Bar – Sekei.
- Royal Stop Over Bar – Kwa Mrefu.
- Rombo Deluxe Bar – Tangi La Maji.
- Kwa Moshi fainali zitafanyika Jumapili hii tarehe 24 March, katika Kiwanja Cha LS Garden – CCM Mkoa, kuanzia saa 4.00asbh. Njoo ushuhudie bar za Moshi zilizoingia fainali zikichuana vikali;
- River Nile Bar – Double Road.
- Makanyaga Bar – Soweto.
- East Africa Pub – Double Road.
- White Star Bar – Kiusa Road.
- Seven Eleven Bar – Double Road.
- Njoo uburudike kwa aina tofauti za nyama choma, kuanzia mapande hadi mishkaki, nyama za Kuku, Ng’ombe na Mbuzi!!. Chachandu, Kachumbari, pilipili, ndimu nk.. vitakuwepo.
- Matamasha ya Safari Lager Nyama Choma weekend hii Arusha na Moshi ni BURE, hakuna Kiingilio!.
- Bila Safari Lager, Nyama Choma Haijakamilika!!..
Nawapongeza sana kwa hilo,lakini basi,hebu tupunguzieni bei ya Bia zenu,hadi shilingi 1,000/=kwa chupa ya nusu lita!Bei hiyo itatoa fursa kwa "Walaji wa Bidhaa zenu"kuwa na uwezo wa kunywa kila siku angalau chupa mbili au nne,bila kuhatarisha Bajeti ya Chakula cha Watoto majumbani!Nalisema hili kwa dhati kabisa.Tunazipenda bidhaa zenu TBL,lakini lazima pawepo na "Reciprocity","mrejesho kutoka kwa watengenezaji kwenda kwa walaji, na mrejesho kutoka kwa walaji kwenda kwa watengenezaji"!Bila ya ushirikiano baina ya pande zote mbili,hatutakwenda!Hazina nao "wafikirie sana hali ya walaji kipato,wasigubikwe na tamaaa ya ushuru tu kwenda mbele".Nchi hii itajengwa na wote kwa kushirikiana,na sio kwa kuburuzana,"aliyepata kapata,aliyekosa kakosa!".Otherwise,nawapongeza sana TBL,hususan,Brand ya Safari Lager kwa kuja na ubunifu huu wa hali ya juu!Kweli,bila Safari Lager,Nyama Choma bado haijakubali!" "mwenyekiti wa mpito(hajachaguliwa rasmi kidemokrasia)wa wanywaji wote wa Bia nchini Tanzania!"
ReplyDeleteSafiii kwahiyo wiki hii tunaaanza na mashindano na mwezi ujao tunaendelea na wajanja wale wanaofanyiaga kijitonyama The nyama choma festival wa kishua...kunakuwaga na flowers kweli..karibuni arusha
ReplyDelete