Najua wengi wanajiuliza Wabogojo yupo wapi?
Kwa sasa ndugu zangu nipo Macau, China,  Mji wa Macasino kama vile Las Vegas, Marekani. Nipo katika show inayoitwa "The house of dancing water". Tupo Mimi pamoja na wenzangu Pyramid Guys. Jumla tupo 12 wote toka Tz. Show ni kubwa sana.Tulilazimika kufanya Mazoezi kwa Muda wa Mwaka mmoja kule Antwerpen Belgium.Web yetu ni www.thehouseofdancingwater.com
 Namshukuru Mungu kwa baraka zake.
Bila Kuwa sahau, Mama yangu, Mr Nice, Dr Cheni na Bosi wangu Mr Winston Ruddle. Mashabiki pia.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. So proud of you. Sanaa ya namna hii inatutangaza watanzania. Basi na ikusaidie ili ufanikiwe kimaisha na pia usaidie vijana wengine kufanikiwa.......

    ReplyDelete
  2. Thats gtreat. Awesome

    ReplyDelete
  3. ama kweli watu wanatoka mbali ulivyokuwa wabogoja kipindi kile duh! hata uzito umeongezeka kweli pesa ni kila kitu mungu akujaalie sana wabogoja!

    ReplyDelete
  4. Duhh big up Wabogojo!

    Nice alikuwa anakupoetezea muda bureee hapa Bongo tambarale.

    Si uliwahi kulalamika kuwa jamaa licha ya kukupiga panga la mshiko ulimtuhumu anakumegea kitumbua chako?

    ReplyDelete
  5. Ehhh!

    Hivi huyu bwana mkubwa huwa anakula?, hilo tumbo lake picha ya kwanza linaweza kuhifadhi hata kikombe kimoja cha uji?

    ReplyDelete
  6. Hizi ni roho tupu, hamna mwili kama unavyoona.

    ReplyDelete
  7. msisahau rangi za bendera yetu ndio inavutia pia.

    ReplyDelete
  8. kwa wasiofahamu kuhusu umbile la huyu Wabogojo hatakiwi kunenepa au kuzidi unene huo aliokuwanao ili kuwezesha ukamilifu wa kazi yake hahahaha

    wabogojo upo juu wewe ni nooooma big up en keep it up

    yani hayo ni mapigo ya watu wa kale

    ReplyDelete
  9. All the best... Wajibika kiukweli

    ReplyDelete
  10. All the best man....

    ReplyDelete
  11. jifunze management na production ya hizi vitu pia, uje utufanyie ma show kama haya bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...