Najua wengi wanajiuliza Wabogojo yupo wapi?
Kwa sasa ndugu zangu nipo Macau, China, Mji wa Macasino kama vile Las Vegas, Marekani. Nipo katika show inayoitwa "The house of dancing water". Tupo Mimi pamoja na wenzangu Pyramid Guys. Jumla tupo 12 wote toka Tz. Show ni kubwa sana.Tulilazimika kufanya Mazoezi kwa Muda wa Mwaka mmoja kule Antwerpen Belgium.Web yetu ni www.thehouseofdancingwater.com
Namshukuru Mungu kwa baraka zake.
Bila Kuwa sahau, Mama yangu, Mr Nice, Dr Cheni na Bosi wangu Mr Winston Ruddle. Mashabiki pia.
So proud of you. Sanaa ya namna hii inatutangaza watanzania. Basi na ikusaidie ili ufanikiwe kimaisha na pia usaidie vijana wengine kufanikiwa.......
ReplyDeleteThats gtreat. Awesome
ReplyDeleteama kweli watu wanatoka mbali ulivyokuwa wabogoja kipindi kile duh! hata uzito umeongezeka kweli pesa ni kila kitu mungu akujaalie sana wabogoja!
ReplyDeleteDuhh big up Wabogojo!
ReplyDeleteNice alikuwa anakupoetezea muda bureee hapa Bongo tambarale.
Si uliwahi kulalamika kuwa jamaa licha ya kukupiga panga la mshiko ulimtuhumu anakumegea kitumbua chako?
Ehhh!
ReplyDeleteHivi huyu bwana mkubwa huwa anakula?, hilo tumbo lake picha ya kwanza linaweza kuhifadhi hata kikombe kimoja cha uji?
Hizi ni roho tupu, hamna mwili kama unavyoona.
ReplyDeletemsisahau rangi za bendera yetu ndio inavutia pia.
ReplyDeletekwa wasiofahamu kuhusu umbile la huyu Wabogojo hatakiwi kunenepa au kuzidi unene huo aliokuwanao ili kuwezesha ukamilifu wa kazi yake hahahaha
ReplyDeletewabogojo upo juu wewe ni nooooma big up en keep it up
yani hayo ni mapigo ya watu wa kale
All the best... Wajibika kiukweli
ReplyDeleteAll the best man....
ReplyDeletejifunze management na production ya hizi vitu pia, uje utufanyie ma show kama haya bongo.
ReplyDelete