FAMILIA YA BWANA ATHANAS SHARIFF MUSHI WA URU MAWELLA-MOSHI, INATANGAZA KIFO CHA BABA YAO MPENDWA, ATHANAS SHARIFF MUSHI, KILICHOTOKEA JANA JUMAPILI MACHI 24, 2013 KATIKA HOSPITALI YA MT. JOSEPH, SOWETO-MOSHI. 

MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA LEO SAA 10:00 JIONI, KONA BAR MABIBO DAR ES SALAAM NA NYUMBANI KWA MAREHEMU URU, MAWELLA, MOSHI.

 MAZISHI NI JUMATANO, MACHI 27, 2013. HABARI ZIWAFIKIE, MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI (IGP) SAID MWEMA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, UKOO WOTE WA MUSHI, UKOO WOTE WA KOMU, FAMILIA YA MPONDA WA MOROGORO, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO. 

APUMZIKE KWA AMANI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...